Header Ads

SERIKALI IMEKUJA NA MPANGO HUU WA KUBORESHA ELIMU TANZANIA.


Serikali imetoa mafunzo ya TEHAMA kwa walimu 309 wa Shule za Msingi na Sekondari kwa lengo la kuongeza uelewa wa masomo na masuala ya teknolojia ya habari na mawasiliano kwenye Shule wanazofundisha.
Shule nyingi zenye maabara za kompyuta zinakosa watu wa kuzisimamia na kuziendesha hivyo mafunzo yaliyotolewa yana lengo la kuwapa uwezo walimu kufundisha wenzao ili kuwe na shule nyingi zaidi zilizofikiwa kwenye eneo la TEHAMA.
VIDEO HII NI KWA HISANI YA  millardayo.com

No comments

Powered by Blogger.