Header Ads

MCHEZAJI PIUS BUSWITA AKILI KUJICHANGANYA KUSAINI SIMBA NA YANGA,JE KANUNI ZINASEMAJE KWA KOSA KAMA HILI ?

                        Kiungo mpya wa klabu ya Soka ya Yanga Sc ya jijini Dar es salaam , Pius buswita ambaye amepata adhabu ya kufungiwa mwaka mmoja kutocheza ligi kuu nchini Tanzania kwa kosa la kusaini mkataba na timu mbili kwa wakati mmoja .
Leo amezungumza na Mtilah blog na kukiri kusaini mkataba na klabu mbili tofauti na kuomba msahama kwa viongozi wa TFF akidai Simba Sc ilimlazimisha kusaini nao ingawa alikiwa kashasaini na Yanga Sc.

" kweri nimesaini timu mbili tofauti ila Simba Sc ilinilazimisha kusaini nao angalikuwa nimeshasaini na Yanga "

kanuni za TFF zinasema,mchezaji akibainika amesajiliwa na timu mbili, anafungiwa mwaka mmoja

No comments

Powered by Blogger.