Header Ads

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI 2017

 

TAARIFA KWA UMMA
Ofis ya-TAMISMI inapenda kuwajulisha  wananchi juu ya orodha ya wanafunzi  waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa awamu ya pili kwa mwaka 2017. Wanafunzi hawa wataanza muhula  wa kwanza na masomo tarehe 24 Agosti,2017, na hakutakuwa na mabadiliko yeyote ya shule. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangiwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa  kuripoti hadi tarehe 08 Septemba 2017 ambayo ndiyo siku ya mwisho ya kuripoti ,atakuwa maepoteza nafasi.

Mwanafunzi mara uonapo jina lako kwenye tovuti ya ofisi ya Rais TAMISEMI kwamba umechaguliwa kujiunga na kidato cha tano inabidi kudowlod fomu ya kujiunga na shule husika kwenye mtandao..

Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi awamu ya pili mwaka 2017 pamoja na fomu za kujiunga na shule  (joining instructions) inapatikana kwenye tovuti ya Ofisi Ya Rais TAMISEMI ya www.tamisemi.go.tz
Imetolewa na,
Katibu Mkuu
Ofisi Ya Rais-TAMISEMI
23 Agosti 2017


No comments

Powered by Blogger.