Header Ads

OKWI KUUKOSA MCHEZO WA SIMBA NA AZAM, SABABU HII HAPA

Mshambuliaji wa Klabu ya Simba,Emmanuel Okwi wenda akaukosa mchezo ujao wa ligi dhidi ya Azam fc kutokana kwamba atakuwa kwenye timu yake ya Taifa ya Uganda.

Uganda inakabiliwa na mechi mbili  za kufuzu fainali ya kombe la dunia dhidi ya Misri.Wataikaribisha misri siku ya Alhamisi Agost 31,2017 jijini kampala kabla ya kuridiana  ugenini siku ya jumanne  September  5,ikiwa ni masaa  24 kabla ya pambano la Simba na Azam

No comments

Powered by Blogger.