Header Ads

NEEMA ZAMIMINIKA MBAO FC.

                    

Klabu ya Soka ya Mbao Fc kutokea jijini kwanza Leo imeingia makubaliano ya udhamini dhidi ya kampuni ya GF TRUCKS & EQUIPMENT kwenye thamani ya Million 140 kwa mwaka .
Pia klabu hiyo imepatiwa basi pamoja na hizo fedha wakiongea mapema Leo viongozi wa Mbao Fc wamesema kukubali kwa moja mmoja ufadhili huo na kuishukuru kampuni hiyo na kuomba kupata udhamini kutoka kwa makampuni mengine.

No comments

Powered by Blogger.