Header Ads

BARCELONA SASA YAPANGA KUMSHITAKI NEYMAR, INATAKA ILIPWE ZAIDI PAUNI MILIONI 7.8



Barcelona imepanga kumshitaki Neymar ikidai ilipwe pauni miliioni 7.8.
Barcelona wanaamini Neymar alikiuka makubaliano ya mkataba wakati akihamia PSG aliyojiunga nayo kwa kitita cha pauni milioni 198.


Barcelona inataka ongezeko la asilimia 10 katika mauziano hayo ikisisitiza inatakwa ilipwe.
22Aug2017

No comments

Powered by Blogger.