Header Ads

Image result for yanga imewasili dar


Klabu ya soka ya Yanga imetua leojijini Dar es salaam ikiwa tayari kwenda kuwavaa Simba

Mechi hiyo ya Ngao ya Jamii inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka nchini.

Yanga ilikuwa kambini mjini Pemba kujiandaa na mechi hiyo na msimu mpya wa 2017-18.


Hata hivyo, Yanga wamekuwa wakifanya siri sehemu waliyofikia kwa ajili ya kambi ya mwisho kwa ajili ya mechi hiyo.

No comments

Powered by Blogger.