Header Ads

RATIBA YA LIGI KUU VODACOM TANZANIA BARA LEO JUMAMOSI

Pazia la ligi kuu ya soka Tanzania bara linatarajiwa kufunguliwa leo Jumamosi Agosti 26, 2017, ikienda kushuhudiwa nyasi za viwanja mbalimbali nchini vikienda kuwaka moto leo. Shirikisho la soka Tanzania TFF limeshatoa ratiba hiyo na hapa nimekuwekea ratiba ya siku ya leo ambapo mnyama Simba yeye ataanza na Ruvu Shooting ya Mlandizi Mkoani Pwani huku Mhasimu wao Yanga wao wakisubiri mpaka kesho.

No comments

Powered by Blogger.