Header Ads

ARSENAL HOI KWA LIVERPOOL YAKUBALI KICHAPO CHA GOLI 4 - 0, CHELSEA YASHINDA, MATOKEO MENGINE NA MSIMAMO NIMEKUWEKEA PIA.

Image result for ARSENAL


Mwishoni mwa juma lililopita zilichezwa mechi mbalimbali za ligi kuu barani ulaya Ulaya. Lakini kwa siku ya jana Jumapili pale Engand ilichezwa michezo minne huku ukishuhudiwa mabingwa watetezi wa ligi hiyo Chelsea wakiibuka na ushindi wa magoli 2 - 0, mbele ya Evarton magoli ya Chelsea yalifungwa na wahispania Cesc Fabregas dakika ya 27 huku mshambuliaji mpya wa klabu hiyo Alvoro Morata akipachika goli la pili dakika ya 40.

Liverpool wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani wamewaadhibu Arseanal magoli 4 - 0. Magoli ya Liverpool yalifungwa na  Roberto Firmino dak17, Sadio Mane dak 40, Mohamed Salah dakika ya 57 na Daniel Sturridge dakika ya 77. Matokea mengine nimewekuweka hapa.

No automatic alt text available.

No comments

Powered by Blogger.