Header Ads

WACHEZAJI WA TAIFA STARS WALIOITWA NA MAYANGA KUIVAA BOTSWANA.


Image result for TAIFA STARS 2017
Kocha wa timu ya taifa Taifa Stars ametaja majina ya wachezaji wanaounda kikosi cha Stars kwa ajili ya pambano la kimataifa la kirafiki dhidi ya Botswana Septemba 2. Nimekuwekea hapa orodha ya wachezaji hao, ambao kuna waliokuwepo na wengine wakiwa ni wapya.

Aish manula

Mwadini Ally
Ramadhan Kabwili

Boniphas Maganga
Abdi Banda
Gadiel Michael
Kelvin Yondani
Salum mbonde
Erasto Nyoni

Humid Mao
Hamiss Abdalah
Mzamiru Yassin
Said Ndemla
Simon Msuva
Shiza kichuya
Farid Mussa
Morel Ergenes

Raphael Daud
Kelvin Sabato
Mbwana samatta
Elias Maguli

No comments

Powered by Blogger.