Header Ads

GOOD NEWS: MILLARD AYO ATAJWA KWENYE ORODHA YA VIJANA WENYE USHAWISHI AFRICA.


Mtu Wangu Wa Nguvu na "Blogger" maarufu nchini Tanzania na barani Afrika, Millard Ayo ametajwa kwenye orodha ya vijana waliochaguliwa kuwania tuzo ya vijana 100 wa Afrika wenye ushawishi. Hongera sana kaka mkubwa kwa kzi nzuri na kubwa unayofanya pia unastahili kuwepo katika orodha hiyo. Mwenyezi Mungu akusimamie na akupe nguvu zaidi ya kuendelea kuuhabarisha umma vilevile akupe ushindi. Watanzani tunakupenda sana.....

No comments

Powered by Blogger.