Header Ads

MAKONDA:KUNA ASKARI WANATUMIKA KUVUSHA MADAWAYA KULEVYA 5:57 AM 0

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesema amebaini baadhi ya askari polisi Jijini Dar es salaam wanashiriki biashara ya dawa za kulevya na wengine wanashiriki kuvusha kobe wanaopelekwa nje ya nchi. 

Makonda ameyasema hayo Jijini Dar es salaam baada ya kupokea pikipiki 10 kutoka kwa wadau wa maendeleo.

Makonda amelitaka jeshi la polisi kuhakikisha askari hao waliokiuka maadili ya kazi yao wanafunguliwa mashtaka.

No comments

Powered by Blogger.