Header Ads

ASENSIO AZIDI KUWASHA MOTO LA LA LIGA, HUKU MADRID AKISULUHU NYUMBANI.

Image result for ASENSIO

Mchezaji wa klabu ya soka ya Real Madrid ya Uhispania ameendelea kuonesha ubora wake katika kuzifumania nyavu baada ya wikiendi hii kuifungia magoli mawili timu yake iliyocheza usiku wa Jumapili. Mchezo huo uliomalizika kwa sare ya magoli 2 - 2.

Marco Asensio ndiyo alikuwa wa kwanza kufunga goli mnamo dakika ya 10 ya mchezo kabla Carlos Soler wa Valencia kuchomoa gaoli hilo mnamo dakika ya 18. Geoffrey Kondogbia aliwashangaza Madrid dakika ya 77 baada ya kutupia goli la pili na kuwafanya Valencia kuwa mbele kwa magoli 2 - 1 dhidi ya Madrid.
Related image

Dakika ya 83 ya mchezo Marco Asensio ambaye kwa sasa anaaminiwa na Kocha Zidane aliwaamsha mashabiki wa Madrid baada ya kuchomoa goli hilo na kuufanya mchezo kumaliza kwa sare ya magoli 2 - 2.

Matokea mengine na msimamo nimekuwekea hapa....
No automatic alt text available.

1 comment:

Powered by Blogger.