Header Ads

BREAKING NEWS: OFISI ZA WANASHERIA FATMA KARUME NA MARSHA ZIMEWAKA MOTO ALFAJIRI YA LEO.…..


Habari iliyonifikia asubuhi hii ya leo August 26, 2017 ni kuhusu ofisi za wanasheria Fatma Karume na Lawrence Marsha kuwaka moto aljajiri ya leo Jumamosi Agosto 26 2017. Ofisi hizo zilizopo jijini Dar es salaam maeneo ya Upanga na chanzo cha moto huo bado hakifahamika.


Tutaendelea kukujuza zaidi kinachoelea, ususahu kutembelea  ukurasa wetu wa Facebook, Instagram na Twitter kwa jina la Shaaban Maulidi, Whatsapp ni 0718526159

No comments

Powered by Blogger.