Header Ads

MATOKEO YA LIGI 5 KUBWA ZA ULAYA NIMEKUWEKEA HAPA.

Leo Jumamosi tarehe 26 Agosti 2017, ligi mmbalimbali barani Ulaya zimeendelea huku ikishuhudiwa matokea tofauti tofauti kwa timu kubwa. Lakini kwa taarifa tu ni kuwa Manchester United imeendeleza wimbi la ushindi kwa kuifunga Leicester City magoli 2 - 0 katika dimba lao la kujidai la Old Traford, magoli ya Rashford na Fellain.
No automatic alt text available.

Wakati pale Uhispania Barcelona inaondoka na point tatu muhimu mbele ya Alaves kwa mogoli 2 - 0 magoli yote yakifungwa na Messi huku nchini Ujerumani Bayern Munich ikiilaza Werder Bremen Magoli  2 - 0 magoli ya Lewandoski.
matokeo mengine nimekuwekea hapa
No automatic alt text available.



No automatic alt text available.


No automatic alt text available.



No automatic alt text available.

No comments

Powered by Blogger.