Header Ads

MAJAMBAZI WAVAMIA MSIKITI NA KUANZA KUUA WAISLAMU


Watu watatu wenye silaha wameingia katika msikiti mmoja mjini Kabul, Afghanstan na kuanza kufyatua risasi, watu wawili wameripotiwa kufariki dunia.

Imeelezwa kuwa watu hao waliingia msikitini wakati sala ya Ijumaa ikikaribia kuanza na wamemwua mlinzi na mwogozaji wa sala.

No comments

Powered by Blogger.