Header Ads

HUYU LUKAKU SI WA MCHEZO ATUPIA TENA, HUKU MAN UNITED IKIUA 4 - 0


Jumamosi ya August 19 Man United walicheza game yao ya pili ya Ligi Kuu England msimu wa 2017/2018 dhidi ya Swansea CityMan United walikuwa ugenini dhidi ya Swansea na wamefanikiwa kupata point tatu kwa ushindi wa magoli 4-0.
Ushindi wa Man United unakuwa ushindi wa pili mfululizo katika michezo yao miwili ya mwanzo ya Ligi Kuu England, beki wa timu hiyo anayotokea Ivory Coast Eric Bailly game ya leo imeandika historia mpya katika maisha yake kwa kutokana na kufunga goli lake la kwanza toka ajiunge na Man United.

No comments

Powered by Blogger.