Header Ads

WAYNE ROONEY ANAZIDI KUTUPIA TU, HUKU EVERTON IKIIBANA MAN CITY ETIHAD.

Image result for wayne rooney everton
 
Usiku wa jana ulifanika mchezo mmoja wa ligi kuu Uingereza kati ya Manchestr City dhidi ya Everton. Mchezo huo uliopigwa katika dimba la Etihad huku likimalizika kwa sare ya goli 1 - 1  Everton ndiyo walikuwa wa kwanza kupata goli katika dakika ya 35 goli lilifungwa na nyota wa klabu hiyo Wayne Rooney lililodumu hadi kipindi cha kwanza kinamalizika. Manchester United walichomoa goli dakika ya 84 kupitia Raheem Sterling. Pia ilishuhudiwa wachezaji wawili wakipata kadi nyekundu Kayle Walker 44 na Morgan Schneiderling 88.
 

 

No comments

Powered by Blogger.