Header Ads

FULL VIDEO:ALICHOZUNGUMZA MSEMAJI WA TFF LEO KUHUSU MCHEZO WA KESHO KUTWA WA SIMBA NA YANGA,SAMBAMBA NA MABADILIKO YA MUDA WA MCHEZO


Msemaji wa TFF Alfred Kucas leo Agosti 21 alikutana na waandishi wa habari kuzungumzia mchezo wa kesho kutwa kati ya Simba na Yanga.

Miongoni mwa yaliyozungumza ni pamoja na kusogezwa mbele kwa muda wa kuanza  mchezo huo ambapo amesema mchezo utaanza saa 11:00 jioni badala ya saa 10:00 ambayo ilipangwa awali,

Zaidi msikilize kwenye video hii hapa chini

No comments

Powered by Blogger.