Header Ads

MADRID YA BILA RONALDO YAMCHAPA MTU 3 BILA HUKU RAMOS AKIRAMBA UMEME.


Siku ya jana mabingwa mara ,bili mfululizo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya Real Madrid wameanza ligi hiyo kwa ushindi wa magoli 3 - 0 dhidi ya Derpotivo La Coruna, magoli ya Casemiro Tini Kroos na Gareth Bale.

Nahodha wa Real Madrid, Sergio Ramos amepigwa kadi nyekundu katika mechi ya kwanza tu ya La Liga timu yake ikiivaa Derpotivo la Coruna, ugenini.

Ramos alipigwa kadi mbili za njano na kuzaa nyekundu wakati Madrid ikishinda kwa mabao 3-0 ugenini.







No comments

Powered by Blogger.