Header Ads

MO ANAWASALIMIA WANACHAMA WA SIMBA HAMJAMBO...

Mohamed dewj MO ni mfanyabishara mkubwa mwenye mapenzi na mahba kwa klabu ya Simba lakini vilevile ni mwanachama wa klabu hiyo, MO amekuwa akijitolea kuisadia klabu hiyo kwa hali na mali ile iweze kufanya vizuri.

MO ambaye ndiye mtu aliyetoa wazo la kubadili mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo. Baada ya hapo jana wanachama kupitisha na kubariki mfumo wa mabadiliko katika klabu hiyo ameonesha kufurahishwa na kitendo hicho, hivyo akaamua kutumia ukurasa wake wa Instagram kuandika ujumbe ufuatao.

“Washabiki wa Simba hamjambo? Jumapili inaendaje? 😎
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Mohammed Dewji ndio mwanachama wa Simba aliyetoa wazo kuwa Simba iendeshwe katika mfumo wa kisasa wa hisa na kama Simba ikikubali, MO aliahidi kuwa ataomba auziwe asilimia 51 ya hisa za Simba kwa bilioni 20.

No comments

Powered by Blogger.