Header Ads

POTS ZA SAMMATA, LULU,JAYDEE, DIAMOND,KALA JEREMIAH,WEMA SEPETU,MWANA FA,RAIS MAGUFULI NA WENGINEO KUHUSU TUNDU LISU

Image result for tundu lissu

Masuper Star mbali mbali wa Bongo wameungana kutoa salamu za pole na kumtakia heri Mbunge wa Singida Kaskazini, Mhe. Tundu Lissu ambaye leo hii amepatwa na mkasa wa kushambuliwa kwa kupigwa risasi mjini Dodoma.


Kupitia mitandao wa twitter na instagram wametoa pole hizo, miongoni mwao ni Joh Makini, Diamond, Lady Jaydee, Mbwana Samatta, Idris Sultan, Flaviana Matata, Wakazi, Nisher, Linex, Joh Makini na wengineo.
jidejaydeeMwenyezi Mungu aliekuumba akakuinue kutoka kwenye kitanda walichokulaza binadamu tusiowafamu
Huwa tunaamini kwa jina la Baba, la mwana na la roho mtakatifu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
#PrayForTunduLissu
wakazimusicThey are afraid so they tryna silence us, If they could they would, shoot us in broad day with silencers, and line us up, ask us whose side is us © Wakazi #JusticeLeague
diamondplatnumzInshaAllah Mwenyez Mungu Akusmamie na kukurudishia Afya njema…🙏
kalajeremiaheEWE MUNGU WA IBRAHIM MUNGU WA YAKOBO MUNGU WA ISAKA KAWE MUNGU WA LISSU SASA NA HATA MILELE TWAOMBA.
samagoal77Hii sio habar nzuri mungu atamponya tumuombe, so sad







No comments

Powered by Blogger.