Header Ads

HAYA NDIYO MAAMUZI YA LIVERPOOL BAADA YA MANE KUFUNGIWA MECHI TATU


Liverpool imesema itakata rufaa lie adhabu
 ya kufungiwa mechi tatu iliyomkuta
 mshambuliaji wake Sadio MAne.


Mane raia wa Senegal alimkanyaga 
kipa Ederson wa Manchster wakati 
Liverpool ilipokumbana na kipigo 
cha mabao 5-0.


Tayari Mane alimuomba msamaha
 kipa huyo lakini FA imeamua 
kumfungia mechi tatu ingawa
 Liverpool inaona si sawa kwa 
kuwa tayari alipewa adhabu
 ya kadi nyekundu uwanjani.

No comments

Powered by Blogger.