Header Ads

MUZIKI WA KAMUSOKO NA TSHISHIMBI KAMA KAWAIDA JANGWANI

dhidi ya Njombe Mji, kiungo wa Yanga,
 Thaban Kamusoko amerejea kwenye
 mazoezi baada ya kupata ruhusa ya daktari.


Kamusoko alianza mchezo huo vizuri 
kwenye Uwanja wa Sabasaba ambapo
 timu yake ilipata ushindi wa bao 1-0, 
lakini alishindwa kumaliza dakika 90 
ambapo alitoka kipindi cha pili na
 nafasi yake kuchukuliwa na Rafael Daudi.

Haikujulikana kwa haraka juu ya
 kilichosababisha akashindwa 
kuendelea kucheza licha ya kutoka
 uwanjani akitembea mwenyewe
 bila msaada wa mtu yeyote.

Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten
 amesema kuwa Kamusoko alipata 
majeraha madogo lakini alirejea 
uwanjani leo Jumatatu na kuendelea 
na mazoezi kama kawaida baada ya
 kuruhusiwa na daktari wa timu aliye
mfanyia uchunguzi.

No comments

Powered by Blogger.