Header Ads

DRINKWATER AANZA KAZI RASMI CHELSEA


Kiungo mpya wa Chelsea, Danny Drinkwater ameanza kazi rasmi.

Drinkwater amesajiliwa na Chelsea kutoka Leicester City na tayari ameanza mazoezi na kikosi hicho.

Pamoja na kuwepo na michuano ya kimataifa, wachezaji ambao hawajaitwa katika timu za taifa wameendelea kujifua chini ya Kocha Antonio Conte.







No comments

Powered by Blogger.