Header Ads

DIEGO COSTA AANZA KAZI RASMI ATLETICO, HUKU JEZI YAKE IKIGEUKA LULU


  Mshambuliaji wa Diego Costa ameanza mazoezi rasmi ya klabu yake ya Atletico Madrid wakati akisubiri kurejea rasmi katika kikosi hicho kinachonolewa na Diego Semione baada ya kuachana nba kl;abu yake ya Chelsea.

Wakati akijifua, watu wamekuwa wakipanga foleni katika baadhi ya maduka ya Atletico Madrid ili kununua jezi yake ili kuonyesha furaha ya kumpokea mara nyingine tena.




No comments

Powered by Blogger.