Header Ads

MAKAMANDA WA YANGA WATAKAIANGAMIZA NJOMBE MJI WAPO KAMILIGADO

Image result for YANGA 2017


Kikosi cha klabu ya Yanga kinaondoka leo asubuhi kuelekea 
Njombe tayari kwaajili ya mchezo wake wa ligi kuu dhidi ya 
Njombe Mji utakao chezwa jumapili ya tarehe 10.

Yanga inaondoka na wachezaji wake 26 katika msafara
 huo na viongozi 12 
wakiwemo 8 kutoka benchi la ufundi ambapo timu hiyo 
itasalia huko huko
 kwaajili ya michezo yake miwili ya ligi iliyopangwa 
kwenye miji ya Njombe na  Songea.
Soma kikosi cha Yanga

No comments

Powered by Blogger.