Header Ads

SIKU KAMA YA JANA MWAKA 1956 MFALME WA SOKA DUNIANI ALIANDIKA HISTORIA KATIKA SOKA


Mfalme wa soka ulimwenguni Edson Arantes do Nascimento maarufu kama PELE,
Siku kama ya jana Mwaka 1956 alifunga bao lake la kwanza akiwa na klabu ya Santos 
wakati huo alikuwa na umri wa miaka 15.
Image result for arantes do nascimento
Gwiji huyo ambaye alipewa jina la mchawi mweusi kutokana na kuwa na kipaji,
 cha hali ya juu na Raia wa wingereza wanamkumbuka pale alipo wafunga goli.
 tikitaka katika kombe la dunia na mpka leo hii wameshindwa kuamini katika.
 kile ambacho kili tokea,PELE amekuwa na rekodi kubwa ya upachikaji wa ,
mabao lakini hata kucheza mechi nyingi pamoja na mataji na hizi ndio,
 Rekodi yake katika Soka Michezo – 1366,Mabao – 1283,Mataji – 41.

No comments

Powered by Blogger.