Header Ads

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ALIVYOKUTANA NA WAZIRI MANEKA GANDHI WA INDIA

Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amefanikiwa kukutana na Waziri wa Muungano wa Wanawake na Maendeleo ya Watoto nchini India, Maneka Gandhi.
 
Mhe Kikwete yupo nchini India ambapo ametembelea kwa ajili ya ziara zake za kikazi ambapo akiwa nchini humo Jumatano hii, amemtembelea Brig.Gen. Mstaafu Mbena mjini New Delhi ambapo anapatiwa matibabu.Hizi ni baadhi ya picha za rais huyo mstaafu akiwa nchini India.
 



No comments

Powered by Blogger.