Header Ads

BREAKING NEWS: MAHAKAMA IMEFUTA MATOKEO YA UCHAGUZI NCHINI KENYA,UCHAGUZI KURUDIWA TENA UPYA

Mahakama ya Juu nchini Kenya imefutilia mbali matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika mapema mwezi uliopita katika uamuzi kuhusu kesi iliwasilishwa na muungano wa upinzani National Super Alliance. 

Uchaguzi utarudiwa  katika siku 60 zijazo.
Habari zaidi tutakuletea hapo baadae,endelea kutembelea shaabanimaulidi.blogspot.com

No comments

Powered by Blogger.