Header Ads

YANGA YAENDELEA KUTUMA SALAMU KWA SIMBA, YAIFUMUA JAMHURI GOLI 1 - 0 ZANZIBAR


Klabu ya Yanga ambayo ipo kambini kule visiwani Zanziba leo iliingia uwanjani kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Jamhuri ya visiwani humo.

Mchezo huo umemalizika kwa Yanga kupata ushindi wa goli moja kwa bila,goli lililofungwa na Haji mwinyi kunako dakika ya 4 ya mchezo huo.

No comments

Powered by Blogger.