Header Ads

TSHISHIMBI AANZA MAZOEZI YA KUIMALIZA SIMBA NGAO YA JAMII.

Kiungo mpya wa Yanga Pappy Kabamba Tshishimbi, ameanza mazoezi rasmi na klabu yake mpya. Kiungo huyo aliyekuwa akaisubiriwa kwa hamu na wapenzi na mashabiki wa kalbu hiyo amejiunga na mazoezi ya kujiandaa na pambano la ngao ya jamii siku ya JumatanoAgosti 23  litakalofanyika uwanja wa Taifa Dar es salaam.

No comments

Powered by Blogger.