Header Ads

TAYARI YANGA WAMEPATA FEDHA ZA KWENDA KUKOMBOA JENGO LAO LISIPIGWE MNADA


Saa kadhaa baada ya jengo la klabu ya Yanga kutangazwa kupigwa mnada Agosti 19 sabubu ya kudaiwa kodi ya ardhi zaidi ya Tsh milioni 300,vyanzo vya uhakika vimesema tayari pesa hiyo imepatikana na klabu inafanya mchakato wa kwenda kuzilipa kabla ya kufanyika kwa mnada huo

SOURCE:EFM ,MILLARD AYO

No comments

Powered by Blogger.