Header Ads

MAHAKAMA IMEAMURU JENGO LA KLABU YA YANGA KUPIGWA MNADA KUTOKANA NA DENI WANALODAIWA

Mahakama imetoa amri ya jengo la YAnga makao makuu ya klabu hiyo mitaa ya Kaunda na Jangwani kunadiwa.

Hii inatokana na deni la kodi ya Majengo la Sh milioni 300 ambalo klabu hiyo inadaiwa na Serikali.

Hali hiyo inaonekana kuwashitua mashabiki wengi wa Yanga.


No comments

Powered by Blogger.