Header Ads

TAYARI NIMEKUWEKEA MATOKEO YA LEO NA MSIMAMO WA LIGI KUU UINGELREZA EPL JUMAMOSI YA LEO, RATIBA YA KESHO IPO PIA.

Siku ya leo Jumamosi Agosti 19 2017 ligi mbalimbali barani ulaya na duniani kote zimeendelea. Ligi kuu nchiniUingerza maarufu kama EPL imeendelea huku ikushuhudiwa Manchester United inayonolewa na Mreno Jose Mourinho ikiendeleza wimbi la ushindi baada ya kuigaragaza Swanswea City magoli 4 - 0. Magoli ya Eric Bailly 45', Romelo Lukaku 80', Paul Pogba 82 na Antonio Martial dakika ya 84. Ushindi huo unaendelea kuwaweka kileleni katika msimamo wa ligi hiyo.

Goli pekee la Jesse 47, limetosha kuwalaza Arsenal dhidi ya Stoke City. Nimekuwekea pia matokeo ya mechi nyingine, ratiba ya kesho na Msimamo jinsi ulivyo mpaka sasa.

No comments

Powered by Blogger.