Header Ads

SEMINA YA UELIMISHAJI WANACHAMA WA SIMBA, WANACHAMA WAJITOKEZA, WASEMAJI WAANZA KAZI


Ile Semina maalum ya klabu ya Simba imeanza na lengo likiwa ni kutoa mafunzo ya mambo mbalimbali.

Semina hiyo inalenga kujenga uelewa mpana zaid juu ya muundo mpya wa klabu, uliotokana na mabadiliko ya katiba yaliyofanywa na wanachama hao,na kusajiliwa na Msajili wa Vilabu nchini. 



Wanachama wa Simba wamejitokeza kwa idadi ya mafungu ingawa wamekuwa wakiongezeka taratibu na kujaza viti kwenye ukumbi wa Mikumi uliopo kwenye eneo la maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba (PTA) kurasini hapa jijini Dar es salaam. 






No comments

Powered by Blogger.