Header Ads

NIYONZIMA AWASILI RASMI KAMBINI MSIMBAZI

Kiungo wa kimataifa wa Rwanda Haruna Niyonzima jana usiku aliwasili jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuzna kibarua na klabu yake mpya ya Simba, Niyonzima aliwasiri na wachezaji wengine wa kimataifa wa Simba Emmanuel Okwi na Nicholaus Gyan tayari kwa jili ya Simba Day.

No comments

Powered by Blogger.