Header Ads

MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU IMEBARIKI MKUTANO MKUU WA SIMBA.



Baada ya bodi ya wadhamini wa club ya Simba kufungua kesi mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es Salaam kuzuia kufanyika kwa mkutano mkuu wa Simba utakaofanyika August 13 2017.


Mzee Kilomoni alipokuwa akitoka Mahakamani August 10 akiwa na wenzake wa bodi ya wadhamini kuzuia mkutano mkuu wa Simba SC

Usiku huu mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imetoa maamuzi na kuridhia mkutano mkuu wa Simba ambao unadaiwa kwenda kujadili mabadiliko kuendelea kama kawaida kama ulivyopangwa Jumapili ya August 13 2017.

No comments

Powered by Blogger.