Pazia la kligi kuu ya Uingereza lilifunguliwa jana kwa Arsenal kuibuka na ushindi wa goli 4 -3 dhidi ya Leicester City, huku leo ikishuhudiwa Chelsea mabingwa watetetezi hawa wameshangazwa na Klabu ya Burnley kwa mabao 3-2, huku Liverpool ikiambulia sare ya 3 -3. habari kamilio hapa.
No comments