Header Ads

HADI SASA TAKRIBANI WATU 300 WAMEFARIKI KWENYE MAFURIKO HUKO SIERRA LEONE


Sierra Leone imeingia kwenye headlines mbalimbali duniani baada ya kuingia kwenye maombolezo makubwa kufuatia maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha kwa siku tatu katika Mji Mkuu wa nchi hiyo, Freetown.

Inaelezwa kuwa zaidi ya watu 300 wamefariki huku wasiwasi ukiongezeka kuwa zaidi ya watu 600 hawajulikani walipo.





No comments

Powered by Blogger.