Header Ads

BREAKING NEWS.. JUUKO MURSHID YUPO DAR NA AMEKUTANA NA VIONGOZI WA SIMBA.

Beki kisiki wa kimataifa wa Uganda na klabu ya soka ya Simba tayari ametua jijini Dar es salaam, katika ukurasa wa Instagram wa klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya msimbazi Kariakoo jijini Dar es salaam Juuko smeonekana yupo na Mwenyekiti wa kamati ya usajili wa klabu hiyo ya Simba katika picha kama inavyoonekana hapa.

No comments

Powered by Blogger.