Header Ads

WACHEZAJI 30 WANAOWANIA TUZO YA BALLON D' OR

 
Habari ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapen\zi na mashabiki wengi wa soka ulimwengu kote ni kuhusu orodha ya wachezaji ambao watawania kuchukua tuzoi ya mchezaji bora maarufu kama ballon d'or.

Tuzo hizo ambazo huandaliwa na taasisi ya France Football ambazo zilianzishwa mnamo mwaka 1956 ambazo kati ya mwaka 2010 - 2015 baada ya makubaliano zikaanza kujualikana kama tuzo za mchezaji wa bora wa FIFA.

Siku ya jumatatu jioni ilitangazwa orodha ya wachezaji 30 ambao wameingia nkatika kinyang'anyiro hicho. hapa nimekuwekea idadi kamili ya wanasoka hao..

No comments

Powered by Blogger.