Header Ads

RAIS MAGUFULI AMEFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI, AMETEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA 6, IGP MANGU APEWA UBALOZI

Image result for magufuli

  Siku ya Alhamisi Oktoba 26, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali.

Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa 6.
1.Mkoa wa Manyara - Mkuu wa Mkoa ni Alexandar Pastor Mnyeti (Alikuwa DC wa Arumeru).
2.Mkoa wa Rukwa - Mkuu wa Mkoa ni Joachim Leonard Wangabo (alikuwa DC wa Nanyumbu).
3.Mkoa wa Geita - Mkuu wa Mkoa ni Bwana Robert Gabriel Lughumbi (alikuwa DC wa Korogwe).
4.Mkoa wa Mara - Mkuu wa Mkoa ni Adam Kigoba Ally Malima (aliwahi kuwa kwenye baraza la mawaziri awamu ya nne).
5.Mkoa wa Dodoma - Mkuu wa mkoa ni Bi. Christine Solomoni Mndeme (alikuwa DC wa Dodoma Mjini).
6.Mkuu wa Mtwara - Gelasius Gasper Byakanwa (alikuwa DC wa Hai)
Uteuzi wa Mabalozi. 1.Dr. Aziz P. Mlima - Amekuwa Balozi (alikuwa Katibu Mkuu wizara mambo ya nje).
2.IGP Mtaafu Ernest Mangu - AMekuwa Balozi.
Mabalozi hawa Vituo vyao vya kazi vitatangazwa hapo baadae.
Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu wao. 1.Ofisi ya Rais Ikulu - Katibu Mkuu Alifayo Kidata.
2.Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na utawala Bora - Katibu Mkuu Dr. Lawrian Ndumbaro. > Naibu Katibu Mkuu - Bi. Dorothy Mwaluko.
3.Ofisi ya Rais TAMISEMI .
 Katibu Mkuu Eng. Mussa Iyombe. > Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Afya) - Zainabu Chaula. > Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Elimu) - Dickson Nzunda.
4.Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira.
 Katibu Mkuu Eng. Joseph Kizito Manongo (alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo hiyo) > Naibu Katibu Mkuu - Bi. Butamo Kasuka Philipo.
5.Ofisi ya Waziri Mkuu. Kazi na Ajira - Katibu Mkuu Erick Shitindi. >Bunge na Waziri Mkuu - Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi. >Sera - Katibu Mkuu Faustine Kamuzora (amehamishwa kutoka ofisi ya makamu wa rais).
6.Wizara ya Kilimo.
 Katibu Mkuu Eng. Mathew Mtigumwe. >Naibu Katibu MKuu - Dr. Tomas Didim Kashilila.
7.Wizara ya Mifugo na Uvuvi. > Mifugo - Katibu Mkuu Dr. Maria Mashingo. > Uvuvi - Katibu Mkuu Dr. Yohana Budeba.
8.Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano. >Uchukuzi - Katibu Mkuu Dr. Leonard Chamuriho. >Ujenzi - Katibu Mkuu Eng. Joseph Nyamuhanga. >Mawasiliano - Katibu Mkuu Dr. Maria Msasabo.
Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano - Eng. Adelina Madete.

No comments

Powered by Blogger.