Header Ads

WAKILI WA LULU KUKATA RUFAA

Image result for lulu michael
Siku ya Jumanne tarehe 13 Novemba 2017, tasnia ya filamu nchini imechukua taswira mpya baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kumhukumu Mwigizaji nyota wa kike nchini Elizabeth Michael "Lulu" miaka miwili jela katika kesi iliyokuwa inamkabili ya kumuua mwigizaji mwenzake Steven Kanumba bila kukusudia.
Lulu alikuwa akikabiliwa na kesi hiyo kufuatia tukio lilitokea April 7, 2012 maeneo ya Sinza Vatican jijini Dar es salaam. Wakili wa Lulu Peter Kibatala amewaambia waandishi wa habari kuwa wapo katika mchakato wa kukata rufaa kufuatia hukumu iliyotolewa.

No comments

Powered by Blogger.