Header Ads

ARSENAL YATOKA SULUHU, EVERTON YAKUBALI KICHAPO. NIMEKUWEKEA MATOKEO YOTE YA LIGI YA EUROPA.

 Image result for EUROPA LEAGUE LOGO

Baada ya kushuhudia Klabu ya Chelsea ya England na Real Madrid zikipoteza michezo yao katika hatua ya makundi kwa kukubali kufungwa magoli matatu katika ligi ya mabingwa ulaya UEFA CHAMPIONS LEAGUE. Siku ya jana tarehe 2, Novemba imepigwa michezo mbalimbali katika ligi ya Europa. Klabu ya Evarton ya England imekubali kiichapo cha magoli 3 - 0 kutoka kwa klabu ya Lyon ya nchini Ufaransa, huku Arsenal ikifuzu katika hatua ya mtoano licha ya kusuluhu 0 - 0.
Matokeo yote ya Ligi ya Europa.

 









No comments

Powered by Blogger.